Nyumba inauzwa Kigamboni

Nyumba inauzwa Kigamboni

Ipo kigamboni ya wapi?
Kuna umbali kutoka magogoni
au darajani?

Mita ngapo kutoka baharini?
Documents gani ulizonazo?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ipo kigamboni ya wapi?
Kuna umbali kutoka magogoni
au darajani?

Mita ngapo kutoka baharini?
Documents gani ulizonazo?
Umbali kutoka nyumba ilipo Hadi feri ni kilometres 23

Nyumba ilipo Hadi barabara kuu ya la Lami Ni mita 900

Kutoka nyumba ilipo Hadi Aya Sofia ni km 1.5

Document ni hati miliki ya wizara.
Nipigie simu Kwa maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom