House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

uberimae fidei

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,789
Reaction score
4,451
Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)
Umbali Mita 400 kutoka morogoro road.
Bei milioni 80
Mawasiliano 0678908743
 
Attachments

  • IMG_20251022_121429_646.jpg
    IMG_20251022_121429_646.jpg
    664.4 KB · Views: 16
Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)
Umbali Mita 400 kutoka morogoro road.
Bei milioni 80
Mawasiliano 0678908743
Kwa nini unauza?
 
Ngoja mpaka January tuone hii nchi inaendaje, maana usikute ni ya Mtendaji na wahuni wameiweka kwenye ratiba za uhuni wao wa kuandamana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom