Nyumba bongo bei kubwa kuliko USA.Kwa bei hiyo naweza nunua nyumba nzuri sana USA au UK ambapo ntakuwa naingiza zaidi ya $3,000 kwa mwezi na uwezekano wa bei ya nyumba kupanda kila mwaka
Kuwa na amani mkuu kitu kama hicho hamna
Nyumba bongo bei kubwa kuliko USA.
So mke wa mwenye hio nyumba unamuita tu shemeji sio?Bei za nyumba zinatofautiana kama ilivyo Kwa magari.kwahyo kipato chako ndio kitaamua uishije.
Huku mtaaani tunasema ukiwa huna hela wanawake wazuri utaishia kuwaita masheji.
Hahaa msitari wa mwishoni ni utani tu jamani,tuendeleze kuichambua bei ya nyumba
Hahaa yote ni majibu mkuuSo mke wa mwenye hio nyumba unamuita tu shemeji sio?
Hahaa sawa mkuuHii isubiri mabilioni ya Dr Shika sisi wanyonge hatuwezi mkuu maana hukawii kuambiwa ni msafishaji fedha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu maelezo yako ya mwisho nimecheka sana.Bilioni moja na milioni thelasini na sita na lakimoja na elfu ishirini na tano na nne
BILLION 1.36
Hii namba hua naionaga kwenye vifirushi vya internet tu. GB1.36
Mkuu ninayo moja hivi iko mbezi beach maeneo ya Jangwani beachDhihaka kwenye Biashara za watu hasa hapa JF ni kitu cha kawaida.
Mleta Uzi kuwa na uvumilivu.
Mimi hatahivyo ninalo pendekezo:
Hujasema ukubwa wa Plot. yenye Mjengo huu.
Lakini Iwapo inafika sqm.2500 au zaidi,
Pili, Kwenye Bei Muelezee Mmiliki Soko limevurugika aachane na Habari ya Mabilioni.
Akiweza kuifikiria Ofa ya Tshs.500-600 MILIONI au jirani na hapo tafadhali unifahamishe nimletee Mteja makini.
(Muhimu:Ukubwa wa Plot ufikie sqm.2500)
Au tena kama unaweza kupata Nyumba INAYOUZWA yenye sio chini ya vyumba 4 vya kulala, Plot sqm.2500 au zaidi.
Maeneo Bahari Beach na Mbezi Beach tu.
Tuwasiliane,
Call/WhatsApp:
+255 714 59 15 48/dalalitz@yahoo.com.
Nawasilisha.
Picha za eneo na majengo yaliyopMkuu ninayo moja hivi iko mbezi beach maeneo ya Jangwani beach
Size plot 3500 sqm
Ndani kuna nyumba 3 moja ya ghrofa na nyingine za kawaida
Ila nyumba ni za mda kidogo zinahitaji matengenezo
Bei 420m
Ni pazuri Sana
Hakuna popobawa humo ndani?
Karibu Sana mkuu
Watu wana vituko Ndg yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umenifanya nipaliwe na chakula
Watu wana vituko Ndg yangu