dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Vizuri sana mkuu ila hata hii huwa tunapangisha 3,000/= usd kwa mwezi na sio hii tu bali huu mtaa wote nyumba za dizain hii tunapangisha Kwa bei hiyo.kwahyo karibu tu ununue usiumize kichwa chako kwenda kuwekeza ulayaKwa bei hiyo naweza nunua nyumba nzuri sana USA au UK ambapo ntakuwa naingiza zaidi ya $3,000 kwa mwezi na uwezekano wa bei ya nyumba kupanda kila mwaka
Hahahaha karibu tu mkuu bei isikutishe ina maongeziUsingemalizia ilo neno USD ningeomba unipunguzie kidogo
Kuwa na amani mkuu kitu kama hicho hamnaHakuna popobawa humo ndani?
Ndio maana ya maisha mkuu.usiumize Sana kichwa kila jambo lina wakati wakeJamani mnaotaka kujua n Tsh ngapi
kitu kinauzwa 1,036,125,004 Tsh
ki ukweli siwezi hata kusoma hiyo hela sijui namba
Niacheni kwanza
Mkuu karibu tu usiogope bei inapungua Sana hiiUsingemalizia ilo neno USD ningeomba unipunguzie kidogo
Unadhani Nchini hapa hakuna nyumba za bei hii?450000 USD unanunua nyumba UK,Dubai, US na unapewa uraia kabisa wa nchi ya Bahamasi ambapo ni 89km to US kwa boat
Hiyo pesa mingi sana aiseee
Exchange rate 1$=2315Tsh
Mkanunue huko basi450000 USD unanunua nyumba UK,Dubai, US na unapewa uraia kabisa wa nchi ya Bahamasi ambapo ni 89km to US kwa boat
Hiyo pesa mingi sana aiseee
Exchange rate 1$=2315Tsh
Tena sehemu ya maana yenye shule nzuri kwa watoto, zimamoto, ukusanywaji wa taka, maji hayakatiki, umeme upo bila mgogoro, delivery ya Amazon mpaka mlangoni, na mazagazaga kibao mengine.Kwa bei hiyo naweza nunua nyumba nzuri sana USA au UK ambapo ntakuwa naingiza zaidi ya $3,000 kwa mwezi na uwezekano wa bei ya nyumba kupanda kila mwaka
Bilioni moja na milioni thelasini na sita na lakimoja na elfu ishirini na tano na nneJamani mnaotaka kujua n Tsh ngapi
kitu kinauzwa 1,036,125,004 Tsh
ki ukweli siwezi hata kusoma hiyo hela sijui namba
Niacheni kwanza