Hakuna upambanaji bali ni ujinga. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupiga mabati marefu hivyoHapo ndo utajua tofauti ya nyumba za serikali na nyumba za wapambanaji wasio ogopa gharama za bati..
Sawa bossHakuna upambanaji bali ni ujinga. Mtu mwenye akili timamu hawezi kupiga mabati marefu hivyo
Sawa mkuuSasa mkuu hiyo dropping from 95-75...
Basi angefanya 50M kabisa.