Nyumba inauzwa ipo mtwara

Nyumba inauzwa ipo mtwara

Chasoda

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
66
Reaction score
33
Ipo eneo la soko kuu,ina vyumba vitano na pia ina umeme.bei ni milioni 60.piga namba 0713214398
 
Umechindwa kuweka hata picha..!? weka picha tuone hiyo nyumba ya N'twara milioni chitini
 
Umechindwa kuweka hata picha..!? weka picha tuone hiyo nyumba ya N'twara milioni chitini

Ni kweli nimechindwa kuweka picha lkn ntwara nyumba kwa bei io ni ndogo kulko unavyofkiria. Fika ujionee nyumba mpya haina hata miaka kumi
 
Ungevuta subra kikaeleweka juu ya gesi thamani itapaa.its a friendly advice. . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom