Nyumba inauzwa ipo Mbezi beach

Nyumba inauzwa ipo Mbezi beach

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
Tambaza auction Mart and general broker tukiwa Kama mawakala wa ukusanyaji wa madeni sugu ya benki ya posta tunatangaza kuuza nyumba ya mdaiwa iliyopo mbezi beach. Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba pamoja na Bei piga namba hii 0684420141,0658083460 (Recovery officer - Tambaza Auction Mart and general broker)
 

Attachments

  • IMG-20181204-WA0008.jpg
    IMG-20181204-WA0008.jpg
    38.3 KB · Views: 46
  • IMG-20181204-WA0006.jpg
    IMG-20181204-WA0006.jpg
    60.8 KB · Views: 51
  • 1544029205432_IMG-20181204-WA0011.jpg
    1544029205432_IMG-20181204-WA0011.jpg
    45.9 KB · Views: 48
  • IMG-20181204-WA0017.jpg
    IMG-20181204-WA0017.jpg
    59.4 KB · Views: 46
  • IMG-20181204-WA0013.jpg
    IMG-20181204-WA0013.jpg
    41 KB · Views: 42
  • IMG-20181204-WA0005.jpg
    IMG-20181204-WA0005.jpg
    67.4 KB · Views: 40
  • IMG-20181204-WA0009.jpg
    IMG-20181204-WA0009.jpg
    50.8 KB · Views: 37
  • IMG-20181204-WA0007.jpg
    IMG-20181204-WA0007.jpg
    46 KB · Views: 38
  • IMG-20181204-WA0012.jpg
    IMG-20181204-WA0012.jpg
    51.4 KB · Views: 42
  • IMG-20181204-WA0015.jpg
    IMG-20181204-WA0015.jpg
    57.9 KB · Views: 37
  • IMG-20181204-WA0004.jpg
    IMG-20181204-WA0004.jpg
    57 KB · Views: 37
  • IMG-20181204-WA0014.jpg
    IMG-20181204-WA0014.jpg
    53.7 KB · Views: 37
  • IMG-20181204-WA0016.jpg
    IMG-20181204-WA0016.jpg
    54 KB · Views: 39
  • IMG-20181204-WA0010.jpg
    IMG-20181204-WA0010.jpg
    42.5 KB · Views: 43
Hapana sio hii. Ile ilikuwa gorofa moja..hii ni ya mdeni ambaye alikopa benki ya TPB ameshindwa kurejesha mkopo katika muda uliotakiwa..na hajafirisiwa nyumba peke yake Hadi magari yake tumekwishayauza..imebakia nyumba
 
Ndani hamjafanikiwa kuingia
Nyumba inamilikiwa na kampuni Kama kweli una Nia au una mteja Basi waweza fika ofisini kwetu sinza Mori karibu na ukumbi wa golden memory au Rita tower posta gorofa ya 18 kwa maelezo zaidi na kukagua mali
 
Karibu ofisini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na mkurugenzi...Tunapatikana Rita tower gorofa ya 18 au sinza Mori karibu na golden memory hall au waweza piga simu namba 0684420141 au 0658083460
Kama hutojali pia waweza kutupa namba yako ili tukutafute
 
Back
Top Bottom