Nyumba inauzwa, iko Magomeni

Nyumba inauzwa, iko Magomeni

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
NYUMBA ina uzwa iko magomen kagela ni nyumba kubwa haiko mbali na barabara ina vyumba sita ....ina uzwa million 200 kwa maelezo zaidi NJOO PM... wasialiana na mm nikupeleke ukaione mwenyewe ...for serious buyer only
 
NYUMBA ina uzwa iko magomen kagela million 200 kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa Whatsapp kupitia namba +79253719267

Hapo mwenye nyumba anakula million 20, na dalali anachukua 180 million,bongo mmejaa wauni sana kwanza million 200 ata picha ata mandazi lazima uweke picha
 
Hapo mwenye nyumba anakula million 20, na dalali anachukua 180 million,bongo mmejaa wauni sana kwanza million 200 ata picha ata mandazi lazima uweke picha

Jieshimu kijana heshima ni kitu cha bule
 
WAKUU NYUMBA ina uzwa iko magomen kagela million 200 .....njoo PM kwa maelezo zaidi,,, mm sio dalali
 
nazan swali hilo ni pale utapo kutana nao watakupa wao sababu mm apa nawakilisha tangazo
Mkuu usikute unataka kuuza nyumba ya mtu, kama kweli ni nyumba ya wazazi wako huwezi kushindwa kujua sababu za wao kuiuza...
 
Mkuu usikute unataka kuuza nyumba ya mtu, kama kweli ni nyumba ya wazazi wako huwezi kushindwa kujua sababu za wao kuiuza...

mkuu hivi Kama kweli una taka kujua sababu si unge niomba namba nikakupa ukawapigia wao moja kwa moja unge ulizA maswali yako yote na ungepewa majibu toka kwa wahusika
 
mkuu jaribu kutuma hata picha zake am serious kununua nyumbabmaeneo hayo bt lazima niione kwanza walau picha
 
mkuu jaribu kutuma hata picha zake am serious kununua nyumbabmaeneo hayo bt lazima niione kwanza walau picha

Kama uko serious ni send me a msg kweny Namba niloweka then Nita ku kupa contact za wa husika upelekwe ukaione nyumba
 
Nyumba ipo magomeni anaeuza yupo urus labda magomeni ya moscow
 
Labda nikuulize hilo eneo lina barid sana au joto huenda ukawa unachanganya maeneo Russia ukajua Bongo
 
Labda nikuulize hilo eneo lina barid sana au joto huenda ukawa unachanganya maeneo Russia ukajua Bongo

Da kweli ww ume niamulia leo naona Kama umeelewa ila una taka tu kubisha
 
Jamaniii eeeee mimi picha siweki naludia tena siweki picha anaye taka tuwasiliane kwa namba niloweka ata pelekwa akaione nyumba live bila chenga
 
Unapotangaza biashara unaweka info zote. Sasa wewe swali la msingi tu eti kawaulize wanaoiuza. Delete message yako halafu rudi utakapokuwa na habari sahihi. Yaani Wabongo sisi ubabaishaji in everything!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom