Nyumba Inauzwa Bunju "A" kwa bei murua

Nyumba Inauzwa Bunju "A" kwa bei murua

Tayukwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
2,185
Reaction score
4,425
NYUMBA INAUZWA

Ni nyumba ya kisasa ipo maeneo ya BUNJU "A"

Ina vyumba vinne, master bedroom, store, jiko, fensi na nyumba nyingine ndogo kwa pembeni.

Ukubwa wa kiwanja ni square meters 1910
Ina hati yake safi kabisa.

Nyumba ni mpya ila kutokana na changamoto za kimaisha ndio maana inauzwa.

Bei ni milioni mia mbili na Ishirini na tano (225 milioni) kwa mazungumzo zaidi
 
Attachments

  • IMG_20190831_071120.jpg
    IMG_20190831_071120.jpg
    225.1 KB · Views: 51
  • IMG_20190831_071036.jpg
    IMG_20190831_071036.jpg
    122 KB · Views: 54
  • IMG_20190831_071005.jpg
    IMG_20190831_071005.jpg
    381.4 KB · Views: 45
  • IMG_20190831_070938.jpg
    IMG_20190831_070938.jpg
    70 KB · Views: 47
  • IMG_20190831_071002.jpg
    IMG_20190831_071002.jpg
    368.5 KB · Views: 45
  • IMG_20190831_071013.jpg
    IMG_20190831_071013.jpg
    273.5 KB · Views: 38
  • IMG_20190831_071110.jpg
    IMG_20190831_071110.jpg
    151.8 KB · Views: 42
  • IMG_20190831_070947.jpg
    IMG_20190831_070947.jpg
    318.2 KB · Views: 43
  • IMG_20190831_070923.jpg
    IMG_20190831_070923.jpg
    305.4 KB · Views: 46
  • IMG_20190831_070952.jpg
    IMG_20190831_070952.jpg
    170 KB · Views: 47
  • IMG_20190831_071032.jpg
    IMG_20190831_071032.jpg
    174.4 KB · Views: 45
  • IMG_20190831_070943.jpg
    IMG_20190831_070943.jpg
    224.9 KB · Views: 44
  • IMG_20190831_071115.jpg
    IMG_20190831_071115.jpg
    295.1 KB · Views: 39
  • IMG_20190831_071125.jpg
    IMG_20190831_071125.jpg
    220.5 KB · Views: 44
  • IMG_20190831_071039.jpg
    IMG_20190831_071039.jpg
    105.2 KB · Views: 47
  • IMG_20190831_070930.jpg
    IMG_20190831_070930.jpg
    222.1 KB · Views: 35
NYUMBA INAUZWA

Ni nyumba ya kisasa ipo maeneo ya BUNJU "A"

Ina vyumba vinne, master bedroom, store, jiko, fensi na nyumba nyingine ndogo kwa pembeni.

Ukubwa wa kiwanja ni square meters 1910
Ina hati yake safi kabisa.

Nyumba ni mpya ila kutokana na changamoto za kimaisha ndio maana inauzwa.

Bei ni milioni mia mbili na Ishirini na tano (225 milioni) kwa mazungumzo zaidi
Hiyo bei utapata taaabu sana hata nusu yake huwezi pata, maaaana kuna mtu ana nyumba Ubungo pembeni Kabisa mwa ukuta wa Ubungo terminal ametafuta mtu wa mia na hamsini huu ni mwaka unaisha hajapata sembuse huko Vijijini
 
Nimekuelewa. Ila ningekuomba kabla ya kupost hiki ulichoposti ungejifikiria km hilo jibu lako ungepewa wewe na mtu fulani hivi. Ungemjibu nini na wewe tayari umeshajenga kijijini kama huku!
 
Humu watu wengi ni wajuaji. Ona huyu nae.
 
Nimekuelewa. Ila ningekuomba kabla ya kupost hiki ulichoposti ungejifikiria km hilo jibu lako ungepewa wewe na mtu fulani hivi. Ungemjibu nini na wewe tayari umeshajenga kijijini kama huku!
Mkaushie tu,anaponda hapo pengine yeye pengine kapanga huko Mbagala.
 
Mkaushie tu,anaponda hapo pengine yeye pengine kapanga huko Mbagala.
NYUMBA INAUZWA

Ni nyumba ya kisasa ipo maeneo ya BUNJU "A"

Ina vyumba vinne, master bedroom, store, jiko, fensi na nyumba nyingine ndogo kwa pembeni.

Ukubwa wa kiwanja ni square meters 1910
Ina hati yake safi kabisa.

Nyumba ni mpya ila kutokana na changamoto za kimaisha ndio maana inauzwa.

Bei ni milioni mia mbili na Ishirini na tano (225 milioni) kwa mazungumzo zaidi
Milioni miambili
 
Nimekuelewa. Ila ningekuomba kabla ya kupost hiki ulichoposti ungejifikiria km hilo jibu lako ungepewa wewe na mtu fulani hivi. Ungemjibu nini na wewe tayari umeshajenga kijijini kama huku!
Wewe ukiona mtu anakuletea sijui nyumba karibu ya barabara ujue hajui maana ya makazi .hizo ni hoja za wapangaji .
Siwezi kununua nyumba ya 200m halafu iwe barabarani nakoga vumbi na kelele za mji .
Ukiwa safi nyumbani kwako kama kuna kelele ni xa mbwa kuku au mabata vingine kuwe na sherehe kwako ama kwa jirani tena huku unauliza ni nyumba gani huo muziki.
Mwamba utauxa tu hiyo wapo watu wana hiyo mihela na hawana time ya husttle za mafundi au wanataka kufanya kama njia salama ya kuhifadhi mifweza ilozidi kuliko kuweka benki
 
  • Thanks
Reactions: amu
Thus is JF, naweza kulala now, maana kuna comments hapo juu nimecheka mujarabu aseee daaa...!

Kuna nyumba ipo huko huko Tegeta Boko niliona inauzwa 50mil sijui kama ilipata mteja maana jamaa alikuwa anasaka mteja toka January.
 
Wewe ukiona mtu anakuletea sijui nyumba karibu ya barabara ujue hajui maana ya makazi .hizo ni hoja za wapangaji .
Siwezi kununua nyumba ya 200m halafu iwe barabarani nakoga vumbi na kelele za mji .
Ukiwa safi nyumbani kwako kama kuna kelele ni xa mbwa kuku au mabata vingine kuwe na sherehe kwako ama kwa jirani tena huku unauliza ni nyumba gani huo muziki.
Mwamba utauxa tu hiyo wapo watu wana hiyo mihela na hawana time ya husttle za mafundi au wanataka kufanya kama njia salama ya kuhifadhi mifweza ilozidi kuliko kuweka benki
Mara nyingi nyumba za hapo ubungo su mjini.
Zinanunuliwa kwa lengo la kuvunjwa upatikane uwanja wa kujenga vitega uchumi kama Hotel, lodge au ofisi.

Huwa zina bei sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom