Nyumba Inauzwa Boko Madukani

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,734
Picture 035f.jpg Picture 028.jpg Picture 029.jpg Picture 030.jpg Picture 033.jpg Picture 038.jpg Picture 043.jpg Picture 042.jpg Picture 039.jpg

nyumba inauzwa boko madukani. Ina hati na kiwannja kimepimwa, ina vyumba vinne, kimoja master bedroom chenye balcon, ina choo na bafu ya public kwa ndani, jiko, dinning room na sebule kubwa, ina jiko la nje , store na chumba cha ziada pia ina parking kwa ajili ya gari 3, imezubuiwa ukuta na ina uwanja mpana. bei Tshs 200,000,000/=. Kwa mawasiliano piga 0717 354243/0658442298
 
Hiyo bei yake mbona ni sawa na kodi ya nyumba nzima kwa mwaka au nimehesabu hayo masufuri vibaya?
 
Nyumba nyingi za boko zimefanyiwa tathimini siku chache watu wanapewa chao, nunueni lakini kuweni makini.
 
Sasa mnataka 2b, sawa ila simtumie pesa hata millioni basi kutengeneza mazingira ya nyumba ili ivutie mteja? hata kama wengine wana pesa yao wakiona palivyo pachafu na kuwa wakinunua itabidi watengeneze na kupaka rangi kuta chafu hivyo duh si mtu anagaili jamani.

Kwa kweli hata sijui mtu unakaaje kwenye nyumba kwa mazingira hayo halafu unakuja bila aibu eti unauza pesa hiyo, duh

haya mtazamo wangu tu hata picha kuangalia zinachosha.

watu mjue kuuza nyumba, ikiwa bomba hata siku moja haipiti inachukuliwa.

itabidi mumpunguzie pesa atakayenunua ili ifidie cost za kutengeneza na kupaka rangi kuondoa uchafu huo, na kuweka chochte kufunika uo udongo.
 
Nyumba nyingi za boko zimefanyiwa tathimini siku chache watu wanapewa chao, nunueni lakini kuweni makini.
hiyo nyumba haiuzwi kienyeji mnunuaji atafuata utaratibu unaotakiwa kwani hakuna la kuficha maana kila kitu kipo hakuna biashara ya barabarani
 
Sasa mnataka 2b, sawa ila simtumie pesa hata millioni basi kutengeneza mazingira ya nyumba ili ivutie mteja? hata kama wengine wana pesa yao wakiona palivyo pachafu na kuwa wakinunua itabidi watengeneze na kupaka rangi kuta chafu hivyo duh si mtu anagaili jamani.

Kwa kweli hata sijui mtu unakaaje kwenye nyumba kwa mazingira hayo halafu unakuja bila aibu eti unauza pesa hiyo, duh

haya mtazamo wangu tu hata picha kuangalia zinachosha.

watu mjue kuuza nyumba, ikiwa bomba hata siku moja haipiti inachukuliwa.

itabidi mumpunguzie pesa atakayenunua ili ifidie cost za kutengeneza na kupaka rangi kuondoa uchafu huo, na kuweka chochte kufunika uo udongo.
kwanza ni 200mils siyo 2bils hii ni biashara huru unanunua ukiona inakufaa bila kushurutishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom