harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,361
Nyumba inauzwa Arusha mita 600 kutoka barabara ya lami mataa ya sanawari ina maji na umeme pamoja na fensi ya ukuta .Ina vyumba viwili na sitting room pamoja na jiko na baraza kubwa.pia kuna eneo kubwa ambalo linaweza kuingia nyumba nyingine moja na kubakia na nafasi ya parking.Bei ni sh 36m na maelewano yapo kwa mawasiliano pm