aspen JF-Expert Member Jul 13, 2011 501 165 Sep 7, 2011 #1 ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil
M Matumaini Member Jul 31, 2008 49 7 Sep 8, 2011 #2 aspen said: ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil Click to expand... Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati?
aspen said: ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil Click to expand... Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati?
Who Cares? JF-Expert Member Jul 11, 2008 3,507 3,364 Sep 8, 2011 #3 andaa mkataba mie nishainunua...napanda ndege leo jioni nitakuwa a-twn nitafute ...online jf... unataka cash money au cheque?...
andaa mkataba mie nishainunua...napanda ndege leo jioni nitakuwa a-twn nitafute ...online jf... unataka cash money au cheque?...
Shapu JF-Expert Member Jan 17, 2008 2,111 790 Sep 8, 2011 #4 Matumaini said: Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati? Click to expand... Jibu hapo juu then weka some pictures if possible, hata kama hakina hati kina offer ama kimepimwa? fanya fasta tufanye bness!
Matumaini said: Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati? Click to expand... Jibu hapo juu then weka some pictures if possible, hata kama hakina hati kina offer ama kimepimwa? fanya fasta tufanye bness!
bi mkora JF-Expert Member Jun 1, 2011 259 113 Sep 8, 2011 #5 aspen said: ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil Click to expand... Mtafute silver hair.
aspen said: ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil Click to expand... Mtafute silver hair.
aspen JF-Expert Member Jul 13, 2011 501 165 Sep 8, 2011 Thread starter #6 kina hati wakuu ntaweka picha soon
DullyM Member Mar 24, 2011 72 18 Sep 9, 2011 #7 tunakuinbox kaka aspen kuitaji mawasiliano ya simu lakini hujibu! sasa hii biashara tunafanya vipi wajameni??
tunakuinbox kaka aspen kuitaji mawasiliano ya simu lakini hujibu! sasa hii biashara tunafanya vipi wajameni??