nyumba inauzwa arusha

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil
 
andaa mkataba mie nishainunua...napanda ndege leo jioni nitakuwa a-twn nitafute ...online jf... unataka cash money au cheque?...
 
Aspen,hiyo nyumba iliyo kwny lenta ina vyumba vingapi? Pili,kiwanja kina hati?

Jibu hapo juu then weka some pictures if possible, hata kama hakina hati kina offer ama kimepimwa? fanya fasta tufanye bness!
 
tunakuinbox kaka aspen kuitaji mawasiliano ya simu lakini hujibu! sasa hii biashara tunafanya vipi wajameni??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom