Nyumba inauzawa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzawa Zanzibar

Discussion in 'Matangazo madogo' started by furaha ya moyo, Aug 17, 2012.

 1. f

  furaha ya moyo New Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Nyumba Inauzwa kwa Mnada[/FONT]​
  [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Nyumba nambari KS/MB/671A iliopo mbweni inauzwa kwa mnada wa hadhara kwa idhini ya amri ya Katibu Mtendaji,Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana, Zanzibar (Kumbukumbu KWNMA/UR/T.166/1994/68).[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Nyumba hiyo ni kubwa na imekamilika. ina vyumba vitano (5) vyumba viwili ni self contained), kumbi mbili, vyoo na varanda chini na juu kwenye kiroshani pamoja na uwanja wa uzio (fence).[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Nyumba ipo karibu na pwani na mbweni ruins. Ipo jirani na nyumba za Bwana Ali Mayugwa, Mheshimiwa Seif Sharif Hamad na Bwana Bushta.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Siku na tarehe ya mnada itatangazwa na Kamisheni ya Wakfu baada ya siku kuu ya eid el fitri.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Kwa maelezo zaidi fika katika Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana, Forodhani.[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Ahsanteni[/FONT] DSC00794.JPG P1020108.JPG
   
 2. j

  jobseeker Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am interested, tafadhali tupatie taarifa zaidi ya tarehe, mahali na kiasi gani mtu anatakiwa aweke deposit.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Kweli weye nzanzibari atiii,wakaa nchamba wima au jambiani?
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Nzuri .....
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Naona swala la building economics lilimpitia pembeni architect!
   
 6. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ni vizuri furaha ya moyo ameamua kudharau dhihaka yako kwani angelikujibu hapa kwa kukuchambua wewe, lugha yako na uasili wako basi pangeliwaka moto hapa. Watu kama nyie mnajulikana na mnajulikana ni nini mnakitaka kwa wazanzibari lakini mnaogopa kusema.
   
Loading...