Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Nyumba inapangishwa ipo maeneo ya mwenge bei no lak tatu tu kwa mwezi. Kodi ya mwaka. Sifa zake ni nyumba kubwa ya familia, ina vyumba viwili kimoja wapo master pia ina store kubwa dinning room seating room na public toilet pia ina tiles. Maji yapo masaa24. Gari inafika mpaka mlangoni kwako. Hakuna uzio. 0713401812. Hakuna dalali.