Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Mwani

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
35
Reaction score
21
Ipo mbezi luis stend mpya inafaa kwa hostel au guest house bei maelewano anayehitaji anipm
 
Mkuu toa specifications zake kabisa, i.e Idadi ya vyumba, Umeme, Maji, Fensi n.k....
Halafu Taja Bei kabisa ili kuepusha usumbufu kisha weka mawasiliano yako.
 
Umedondosha tangazo kama vile hujajipanga ama kuna kitu nyuma ya pazia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom