Nyumba INAPANGISHWA

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Ipo Nkuhungu Dodoma.
Vyumba vitatu(master 1),sebule, dining room, store na jiko.
Maji na umeme vipo.
 
kupangishwa bure kukoje.
Tumia busara ya kawaida ndugu.
Kama unahitaji fanya mawasiliano, gharama ni ndogo sana.

ni vema ukaweka bei kuepuka lugha ambazo si nzuri. Mara zote mtu anayepangisha nyumba anasema bei na kuonyesha picha ila wateja waweze kufanya maamuzi sahihi.
 
Weka bei kama kweli unapangisha! Ukiwa silent inakuwa ina maanisha kuwa ni for charity.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom