kakuruvi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2009 Posts 770 Reaction score 259 Aug 3, 2011 #1 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Attachments house for rent.jpg 55.7 KB · Views: 309
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,938 Reaction score 9,452 Aug 3, 2011 #2 Nimependa swiming pool the way ilivyo treated very greensh the care inviroment!
CHIEF MGALULA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,193 Reaction score 912 Aug 3, 2011 #3 Mbona car parking hakuna,mimi nimeipenda kama ataniwekea!!!!
G Geronimo Member Joined Jul 1, 2011 Posts 28 Reaction score 9 Aug 3, 2011 #4 naona na maboya yapo tayari kwenye swimming pool.,
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,806 Reaction score 13,763 Aug 3, 2011 #5 Imetulia,bei vipi?
vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,774 Reaction score 1,087 Aug 3, 2011 #6 Hapa sio njia ya Mtogole kweli?
vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,774 Reaction score 1,087 Aug 3, 2011 #7 Halafu hii serikali yetu kituko! wameshindwa hata kuweka vifusi kwenye hiyo njia ya kwa mtogole, wanataka ifanane na hizi nyumba. Sijui ni kwanini waliweka matuta kwenye hii njia wakati yale mashimo ni matuta Tosha kabisa.
Halafu hii serikali yetu kituko! wameshindwa hata kuweka vifusi kwenye hiyo njia ya kwa mtogole, wanataka ifanane na hizi nyumba. Sijui ni kwanini waliweka matuta kwenye hii njia wakati yale mashimo ni matuta Tosha kabisa.
T tshaka Member Joined Apr 16, 2010 Posts 55 Reaction score 6 Aug 3, 2011 #9 Mia tano kwa mwezi pamoja na umeme na maji unatakiwa kulipa miezi mitatu mitatu tu! ipo osterbay ghuba.
Mia tano kwa mwezi pamoja na umeme na maji unatakiwa kulipa miezi mitatu mitatu tu! ipo osterbay ghuba.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,902 Reaction score 4,444 Aug 3, 2011 #10 vivian said: Hapa sio njia ya Mtogole kweli? Click to expand... vivian mbona haujanitafuta?
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,787 Aug 3, 2011 #11 Duh, wajameni, kejeli hii nimeipenda.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Aug 3, 2011 #12 nimeipenda kweli kweli tuwasiliane aisee
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Aug 3, 2011 #13 kakuruvi said: 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Click to expand... mALARIA NO MORE IN TANZANIA teeeh teeeh eheehheee!!!
kakuruvi said: 3 BEDROOMS 2BATHROOM KITCHEN LOUNGE MASSIVE YARD · 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured) Click to expand... mALARIA NO MORE IN TANZANIA teeeh teeeh eheehheee!!!