Makumbusho
Member
- Nov 6, 2010
- 22
- 1
Nymba kubwa inapangishwa, ipo victoria karibu na barabara... ina vyumba 2 master na 1 cha kawaida. ina ukuta na eneo kubwa. inafaa kwa kuishi na hata kwa biashara/ofisi. Bei maelewano. kwa mawasiliana piga namba 0717 441955