Nyumba inapangishwa USA Arusha

Mnyika

Member
Mar 16, 2009
9
0
Nyumba ya vyumba vitatu self contained kimoja ni master bedroom inapangishwa,ipo Usa River karibu na Polisi station . Nyumba ni fully furnished inafaa kwa wageni kutoka nje ya nchi wanaokaa kwa muda Fulani au mtu yeyote. Bei inaanzia U.S. Dollars 600 maongezi yapo dalali hatakiwi.Wasiliana kwa namba 0784601658 au 0784545404
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom