Nyumba inapangishwa Tegeta Mivumi

Nyumba inapangishwa Tegeta Mivumi

damtanzania

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
752
Reaction score
1,465
Habari zenu,

Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya tegeta mivumi maeneo ya kiwanda cha wazo kwa mbele. Ni nyumba ya ghorofa moja.
Juu kuna vyumba vitatu selfu na kisebure kidogo na chini kuna chumba kimoja cha kulala,sebure,dining,store, jiko na choo cha public. Haijawahi kukaliwa na mtu na bado ni mpya.

Bei: 1000USD
 

Attachments

  • 1442660004578.jpg
    1442660004578.jpg
    79.5 KB · Views: 341
  • 1442660031451.jpg
    1442660031451.jpg
    50.5 KB · Views: 301
Hapo ungepata mashirika ingekuwa poa.. Kwa watu binafsi ni wachache wanaweza afford kodi ya mil. 2 kwa mwezi
 
Naomba uniuzie ramani ili niijenge mwenyewe. Ni kama nimeipenda vile.
 
wazo kwa Dola 1000 sijui kwa watu binafsi kama utapata ..jaribu makampuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom