House4Rent Nyumba Inapangishwa Tabata Kinyerezi laki 2

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
House 4 Rent TABATA Kinyerezi [HASHTAG]#songas[/HASHTAG]
2 Rooms
public Toilet
sitting Room
kitchen
Fence&Parking
slide windows

iko Tabata Kinyerezi Songasi

Price:200,000Tsh. Per month

cond of Pymnt: (6 month)

Ni Apartment Ila Kila nyumba inajitegemea kwa kila kitu

Dalali yangu ni mwezi mmoja

Kuiona nyumba tsh 10,000, husipoipenda nitakutafutia utakayoipenda kwa hela Hiyohiyo
Whtsp/call/mob:
+255718295182/+255625480963
+255753254562
______________________________
Nitumie tangazo la nyumba, viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure

wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.com
_____________________________
Bango
89062d387735afb7203abbb40838f64c.jpg
 
Mkuu be real! elfu kumi kuiona nyumba??? Hivi kweli mtu mpaka afunge safari kuja Tabata kuiona nyumba si nia tosha kwamba ana interest? Aisee kwa mwendo huu....unadhalilisha kazi ya udalali..........
 
Kuiona nyumba 10,000!!?
Hujawahi kupanga na hauna pesa ya kupanga wewe!

Wateja wengi wasumbufu, atakutembeza siku nzima alafu kumbe unababaisha.

Mimi ninachokifahamu ni kwamba kama kweli ukikubali kulipia hiyo nyumba basi hata hiyo elfu 10 hatokudai badala yake utampa asilimia yake ya mwezi.

Hiyo elfu 10 ni ya kuchuja potential customers
 
Kuona nyumba huwa haizi buku tano.
Ukumbuke kulipa kodi ukipata hiyo pesa yako. Tanzania itajengwa na kodi zetu sio misaada na mikopo
 
House 4 Rent TABATA Kinyerezi [HASHTAG]#songas[/HASHTAG]
2 Rooms
public Toilet
sitting Room
kitchen
Fence&Parking
slide windows

iko Tabata Kinyerezi Songasi

Price:200,000Tsh. Per month

cond of Pymnt: (6 month)

Ni Apartment Ila Kila nyumba inajitegemea kwa kila kitu

Dalali yangu ni mwezi mmoja

Kuiona nyumba tsh 10,000, husipoipenda nitakutafutia utakayoipenda kwa hela Hiyohiyo
Whtsp/call/mob:
+255718295182/+255625480963
+255753254562
______________________________
Nitumie tangazo la nyumba, viwanja ,mashamba, magari N.k. Nitatangaza Bure

wtsp:+255 718295182
Email:bangojeupe@gmail.com
_____________________________
Bango
89062d387735afb7203abbb40838f64c.jpg
tafuta utaratibu mzuri ambao utakufanya kuwa na wateja wengi.kwa kupitia hapa hapa jf.kuonesha nyumba na pia wakikubali mtu anakulipa na inakuwa rahisi hata hakija si kuja kuona bali kulipa tu.
 
Mpumbavu wewe, uliniona wapi
mpumbavu kabisa wewe. Mshenzi tena wa mwisho. Hapa kila mtu ana uhur wa kutoa maon yake, kama wewe unaona sawa kutoa, toa ...usitake kila mtu kufanana na mawazo yako...
pumbavu sana. Uwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapo. Ni nani humu jamii forum ulishamuona akilala na shemeji yake kisa kushangaa kuchajiwa hela ya kuangalia nyumba ya kupanga ilipo...hapo bado kuna hela ya kodi ya mwez mmoja mteja akikubal nyumba yenyewe,,tamaa za hela tu zimewajaa mnasingizia kulala na mashemeji...pumbavu...ndo uwezo wenu wa kufikiri umeishia hapo.
Duuuu Mzee jambo dogo unawaka hatari...au kapiga za chembe nini?anyway mtoa mada yupo sahihi huwa wanatucharge madalali wakati wakutuonyesha nyumba,inategemea na maeneo wengine ni 5000 tu ...
 
Duuuu Mzee jambo dogo unawaka hatari...au kapiga za chembe nini?anyway mtoa mada yupo sahihi huwa wanatucharge madalali wakati wakutuonyesha nyumba,inategemea na maeneo wengine ni 5000 tu ...
Mkuu huyu dogo niachie dawa yake me ninayo
 
Hahahahah mkuu usimpe dawa muelimishe tu ...Yawezekana hajawahi kupanga au anaishi mkoani huko kolomoje hajui mjini watu wanaishije
Umesema sawa kabisa mkuu, mtu ambaye hajawahi kupanga hawezi kuelewa haya mambo badala yake atafikiria ni wizi, siku atakayokuja kuwaza kupanga ndio atafahamu hawa MADALALI wana value gani.
 
Mpumbavu wewe, uliniona wapi
mpumbavu kabisa wewe. Mshenzi tena wa mwisho. Hapa kila mtu ana uhur wa kutoa maon yake, kama wewe unaona sawa kutoa, toa ...usitake kila mtu kufanana na mawazo yako...
pumbavu sana. Uwezo wako wa kufikiri ndo umefikia hapo. Ni nani humu jamii forum ulishamuona akilala na shemeji yake kisa kushangaa kuchajiwa hela ya kuangalia nyumba ya kupanga ilipo...hapo bado kuna hela ya kodi ya mwez mmoja mteja akikubal nyumba yenyewe,,tamaa za hela tu zimewajaa mnasingizia kulala na mashemeji...pumbavu...ndo uwezo wenu wa kufikiri umeishia hapo.
Mkuu elfu 10 kukupeleka nyumba ilipo ila hiyo gharama haipo kama utalipia nyumba siku hiyohiyo
 
tafuta utaratibu mzuri ambao utakufanya kuwa na wateja wengi.kwa kupitia hapa hapa jf.kuonesha nyumba na pia wakikubali mtu anakulipa na inakuwa rahisi hata hakija si kuja kuona bali kulipa tu.
Ukishaoneahwa nyumba na Ukalipia ,hiyo gharama ya elfu 10 haipo chief
 
Samahani kwa mnaokwazika na hiyo gharama lakini kwa mteja aliye sirias akaoneshwa nyumba hata zaidi ya ishirini,hiyo elfu 10 hawezi lipia endapo siku hiyohiyo ataonesha yuko interest na nyumba fulani na akawa tayari kuingia mkataba siku hiyohiyo
_________________________
Bango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom