Erick kg
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 314
- 73
nyumba inapangishwa maeneo ya tabata kimanga.. Ina sifa zifuatazo...ina vyumba 2 ambavyo kimoja ni master bedroom na kingine kinatumia public toilet...ina sebule ya kubwa na jiko la ndani...kodi ni 200,000 kwa mwezi na kodi inapokelewa kwa miezi 6..kwa masiliano zaidi nicheki 0717 022737 na pia iko ndani ya fence