Nyumba inapangishwa sinza

Nyumba inapangishwa sinza

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Nyumba ina
master 1
room 3
sebule kubwa
jiko na store
packing magari 3 madogo
setilite dish la bure
maji ya kutosha muda wote
SAM_2920.JPG SAM_2916.JPG SAM_2919.JPG SAM_2915.JPG
mandhari kwa ndani packing ndani


nyumba inapangishwa kodi tsh 500,000 kwa mwezi
inahitajika kodi ya miezi 6 na kuendelea
conts:
0714812375
 
Dar es salaam ndio expensive city in east africa kukodi nyumba,,, na hapo bado tunapoelekea tutatafutana mbona
 
Dar es salaam ndio expensive city in east africa kukodi nyumba,,, na hapo bado tunapoelekea tutatafutana mbona
yaani mtu usipojenga while upo single..ukishaleta na watoto2 nurserytu laki mbili tatu kwa mwezi,ujue ishakula kwako
ngoja nipandishe room mbili mbangala
 
Dar es salaam ndio expensive city in east africa kukodi nyumba,,, na hapo bado tunapoelekea tutatafutana mbona

Mkuu Mkata Kiu, una uhakika na ulichokiandika hapa? Tupe Data to support your arguement.

Tiba
 
Mkuu nyumba muhimu ni mandhari ya ndani...sasa umepiga picha kwa nje tu jaribu kutuonesha na hali yake ya ndani ipo vipi.
Halafu umesema ni karibu na Lion Hotel (Sinza E), ni hapo nyuma mtaa wa Msikiti, ni kule kwa nyuma uwanja wa CCM, ni upande huu wa kituo cha Taxi?
 
bado umeme na mlinzi,housegirl na gari chezeiya bongo
kila siku ni sikukuu

Usiogope pedeshee nipo nitalipa...nani asiyetaka kuishi Sinza kwa Wajanja
 
nimeweka namba ya simu kama unataka tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom