Nyumba inapangishwa Namanga Msasani

godfrey_avya

Senior Member
Feb 25, 2014
131
24
Kuna nyumba inapangishwa mitaa ya Namanga Msasani, tafadhali piga simu namba 0788313146 ili kupata taarifa na maelezo zaidi.
 
Jifunzeni kuweka maelezo ya kutosha katika matangazo yenu ili kuepusha usumbufu.

Sasas kama hili tangazo lako mkuu hujaeleza hata namna nyumba hiyo ilivyo na gharama zake.
 
Back
Top Bottom