Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,065
- 2,362
Nyumba ina vyumba viwili, sebule Jiko, Choo, maji ya kutosha mpaka ndani, LUKU yako, Ipo ndani ya uzio na ipo kwenye compound (means upande) bei ni 350,000/ kwa mwezi maongezi yapo,
Pia nyumba za 400,000 mpaka 800,000 zipo kulingana na ubora wa nyumba na mahali husika, mitaa ni Mwenge, savei, sinza kijitonyama na Mbezi beach,
Pia wale wa chumba Kimoja, master, chumba na sebule na Jiko bei nyingi ni kuanzia 100,000 mpaka 300,000 kulingana na ubora wa nyumba na mmiliki wake na pia upatikanaji wa vitu muhimu kama maji, usalama na mazingira mahalia.. nichek kwa 0713415537