Nyumba inapangishwa laki 2 kodi ya mwaka

Manka R

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
238
Reaction score
29
Ina vyumba vi3, kordo, sitting room, choo, bafu na jiko vyote humo ndani ya nyumba.. Ipo Kinondoni mtaa wa Msokota nywele 0718488595
 
Too good to be true 🙄 laki 2???? mwaka mzimaa???? kinondoni????
 
Nimeshabadilisha, kwa mwezi laki 2 inatakiwa kodi ya mwaka
 
Ina vyumba vi3, kordo, sitting room, choo, bafu na jiko vyote humo ndani ya nyumba.. Ipo Kinondoni mtaa wa Msokota nywele 0718488595

kinondoni shamba hiyo dah....hebu itupie picga hyo nyumba kwanza labda ntakuwa naijua
 
anaglieni saije akapigwa mtu, kinondoni, sinza matukio ya kulipia nyumba kumbe imshalipiwa ni mengi sana.:cool2:
 
Ina vyumba vi3, kordo, sitting room, choo, bafu na jiko vyote humo ndani ya nyumba.. Ipo Kinondoni mtaa wa Msokota nywele 0718488595

Isije kuwa choo na bafu unajitegemea mkuu hahah!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom