nyumba inapangishwa kwa bei nafuuu

nyumba inapangishwa kwa bei nafuuu

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
LOCATION - KIMARA MWISHO
inapangishwa nyumba nzima ipo ndani ya fens (parking ndani kwa kwa ndani)
unaweza kulipa kwa miez sita.na zaidi.
kwa maelezo zaid piga 0653849126 au zuberiamiri@hotmail.com au ni PM
 
Mkuu, kautaratibu ketu ka Jf ni pamoja na kuweka picha, bei, ufikaji kutoka barabara kuu, maji, usalama na mengineyo muhimu. Baada ya hapo ndipo watu tunaingia PM kujinadi.
 
we mtoa uzi punga sana you know!!..unakuwa kama mbebez wa jf banah!...toa maelezo kama "mlume" .yaani mijitu ya bara la giza hata kutoa maelezo tabu you know!
 
,..........sina hakika kama kulikuwa na haja ya wewe kujiharishia namna hii hadharani
 
daah sio lazima kila kitu kiwe wazi chamuhimu nia maeneo mtu akiwa interested nayo atanitafuta ndio maana ukaambia kwa maelezo zaid email/pm/ phone no zipo pale unachotaka nini au kupatwa?

ahsante mkuu sio kosa laku kosa la mama yako mzazi ku..to.m.bwa na kwa bahat mbya hadi ukapatkana so sikulaumu

nashukuru il;a nafikiri sina uhakika km ulikuwa na haja ya kucomment uzi huu..wakati hata kula yako ni shida.(huji siku itaishaje) kwan lazma kila uz ucomment w(kizuri chajiuza kibaya chajitembeza kwa taarifa yenu tuu nimepokea pm zisizo pungua saba na simu tatu kesho wawili kati yao wanakuja kufanya thathmini watu tukae mezani nyie endeleeni kukaa kusubiri full detail mtaishia kukichekea kioo daily)
 
Hata ukipokea pm 100 na simu 1000, haiondoi ukweli kwamba tangazo lako liko "empty". Na ndio maana hao wana jf wamekuja juu. Tunashauri mara kwa mara kuuza au kununua kuna mambo makuu matatu. Price(hata km indicative price), location, quality(picha nk).
Hujachelewa, edit thread yako ili kuwaondolea usumbufu wahitaji.
 
Hatutaki baki bas,km unaona maelezo zaid ni bora mtu aku pm bas kafie mbele na nyumba yko,ndo mana waafrica hamuendelei,hamjui biashara na kukosokewa hamtak,ubish tu ,kwanza kimara kuna folen HATUTAKI,mpangshe bibi yako
 
Hata ukipokea pm 100 na simu 1000, haiondoi ukweli kwamba tangazo lako liko "empty". Na ndio maana hao wana jf wamekuja juu. Tunashauri mara kwa mara kuuza au kununua kuna mambo makuu matatu. Price(hata km indicative price), location, quality(picha nk).
Hujachelewa, edit thread yako ili kuwaondolea usumbufu wahitaji.

Sidhani kwa mhitaji kama ni usumbufu ama tayari wamerahisishiwa ni suala la kupiga simu tu ...tujitume jamani!
 
Hata ukipokea pm 100 na simu 1000, haiondoi ukweli kwamba tangazo lako liko "empty". Na ndio maana hao wana jf wamekuja juu. Tunashauri mara kwa mara kuuza au kununua kuna mambo makuu matatu. Price(hata km indicative price), location, quality(picha nk).
Hujachelewa, edit thread yako ili kuwaondolea usumbufu wahitaji.

Kama landlord mwenyewe ana matusi hivi mpangaji atakuwa salama kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom