Nyumba inapangishwa Kimara - Temboni

Nyumba inapangishwa Kimara - Temboni

SmithG

Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
67
Reaction score
2
Nyumba inapangishwa Kimara Temboni kwa Tshs. 250,000 kwa mwezi ; 2rms and one big master bedroom, sitting and a dining room, public wash room, kitchen, store. The house will be available by end of December 2011. HAKUNA UDALALI
Call: 0764301078
 
Nitaihitaji kuanzia jan 2012, ina maji??
 
Ni Temboni ya ukwel sio unayoisema wewe, well nyumba ipo jirani na kwa Lady JD, Jose mara na Masuke(Mwenye sunciro)
uswazi ile mbaya...wale vibaka walojazana barabarani pale sijui usiku wanaenda wapi aisee!
 
Du sina SMG ,sijui kama siku hizi majambazi yameacha kuua watu pande hiyo ,sina hamu na sehemu za Kimara na Mbezi,watu wa kazi hupiga hodi mchana kweupee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom