Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Tshs 300,000/- p.m. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Tshs 300,000/- p.m.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Shark, Jun 4, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Kuna mdada kaniomba nimsaidie kumpigia Promo nyumba yake iliyoko Kijitonyama, karib na chuo cha Ustawi wa jamii au Grandvilla Hotel.

  Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, kimoja master, sebule 1 na jiko. Na ni upande unaojitegemea uliopo ndani ya Fence yenye Nyumba mbili.

  Parking ipo ya kutosha labda gari 3 na maji yakikatika ujue ni serious problem from dawasco.

  Kodi inaanzia laki 3 p.m but maongezi yapo.Kwa muhitaji waweza kucheki na mdada mwenyenyumba thru 0718 944 979
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Laki tatu anaitaka ya miezi sita au 12?
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  We sema nae mwenyewe thru that number,
  Hilo hajaniambia!!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Vipi tunaweza hata kupata picha ya nyumba yenyewe?
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Nilipita hapo Jana jioni ndio akanipa hii issue,
  Bahati mbaya nipo Zanzibar mpaka Jumatano.
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Nipe e-mail yake asee, maana najaribu kupiga simu haziendi tangu jana usiku, sijui mitandao tanzania ina matatizo gani.
  Fanya fasta mkuu.. !!
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  So cheap kwa maeneo hayo!
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  OK, labda Pia useme na huyu mume wa huyo dada,
  Namba 0718 376 614
   
 9. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aaaaaaghhhh... kumbe ana mume..!!
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hahahahahah nmetaka kuacha mbavu humu,kwa hiyo ww ulitaka nyumba na mwenye nyumba duh teh teh
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Duh,
  We unataka Nyumba au mwanamke??
  Ha ha ha ha ha!!!
   
Loading...