Nyumba inapangishwa Kigamboni PC

mgoshawampasa

Senior Member
Jul 30, 2014
106
195
Nyumba inapangishwa Kigamboni PC ina chumba kimoja sebule na jiko ndanikwandani na self contained. wapangaji mko wawili tu na kila mmoja na upande wake unaojitegemea. Iko ndani ya geti na ina umeme na maji ya uhakika. Bei ni Tsh 150,000/- kwa mwezi, unalipa kodi ya mwaka mzima siku ya kuhamia na hakuna hela ya udalali. Kama unahitJi ni pm nikutumie namba kwa mawasiliano.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom