Examiner
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 584
- 324
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Nyumba inapangishwa Arusha maeneo ya Olasiti.Nyumba ni Self contained ina vyumba Vinne,kimojaaa ni master, dining,jiko,sitting room,Choo na bafu ndani,store,Choo cha njee,maji,umeme,inafensi Yani imezungushiwa ukuta.Karibu Pm for more information bei maelewano.