Nyumba inapangishwa 250,000/= kwa mwezi

Nyumba inapangishwa 250,000/= kwa mwezi

Ahsante kwa ushauri but nilikuwa nahitaji Mpangaji ambaye yupo willing kupanga nyumba nzima na sio kwamba sina pesa ya kuirekebisha I just need a decent and civilized person to stay here but ahsante kwa ushauri idoyo
 
Last edited by a moderator:
Bigirita... Nimeona rafiki yangu hadi najuta kwann nimepost coz mara waseme ilikuwa guest, mara treni ya mwakyembe anyway guys nimeishi kwenye hii nyumba for 26yrs na bado ntaendelea kuishi kama nsipopata mtu.... so stop mocking me and if u r interested nipigie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom