mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Inategemea unaongea na wadau wa hali gani..unaweza weka mpaka 200,000/= na wakapatikana wa kuja kupanga..chagua unataka daraja gani la wapangaji unao wataka hawa wapangaji wa cheap cheap wanasumbua sana wakati wa malipo.Mkuu wadau wameniambia 80 to 100, sasa hapo si nitakosa mpangaji, maana hiyo 150 wadau wamekataa, sasa 180 tena. Hebu nifafanulie
Mkuu nimekuelewa, ndo maana nimeomba ushauri nijue kila kitu, maana nlitaka kuizila, niendelee na mambo mengineMkuu hongera kwanza pili kwa bei 150,000 sio ishu ila pambana na tanesco wafanye yao
Mkuu kusema kweli sijatafuta dalali, nimeona niombe ushauri hapa kwa wanajf wenzangu kwanza, si umeona ushauri niliopata wa hapa jf. Ila asante kwa kunipa moyo, maana nilitaka niipotezee kwanza, niendelee na mambo mengineInategemea unaongea na wadau wa hali gani..unaweza weka mpaka 200,000/= na wakapatikana wa kuja kupanga..chagua unataka daraja gani la wapangaji unao wataka hawa wapangaji wa cheap cheap wanasumbua sana wakati wa malipo.
Watakuja wenyewe usiogope wewe wawekee contacts zako...January hiiMkuu kusema kweli sijatafuta dalali, nimeona niombe ushauri hapa kwa wanajf wenzangu kwanza, si umeona ushauri niliopata wa hapa jf. Ila asante kwa kunipa moyo, maana nilitaka niipotezee kwanza, niendelee na mambo mengine
Asante mkuu kwa ushauri wako, ila kuna sehemu nilianza ujenzi nikaacha, nkaendelea na hapo, sasa kule kodi yake imekuwa tamu, nataka nidili na huko ndo nirudi hapo kwa mengine, ila umeme ntawekaMkuu nakushauri hivi;
1.Malizia nyumba yako kwa kuweka umeme.
2.Unganisha maji.
3. Malizia fensi.
4. Ukimaliza yote hayo utakua na uwezo wa kukodisha kuanzia 250k-350k.
Nakubali mkuu,ila watu tunatishana, nami nimeingia woga, bora nipate kodi mbili, nitarudi tu hapo,baada hukokwengine kodi imekuwa nzuri, na majukumu yanazidiChukua ushauri wa kumaliza kwanza then ukudi naiman utakuja na price yako mwenyewew
Mkuu nakuja huko pmNi pm
Mbona nimekufata pm, kimyaNi pm
Asante mkuu kwa ushauri wakoWeka Umeme,malizia fense utapata laki 3 kwa mwezi.
Mkuu kuna mwana jf ananijua vizuri, ndio aliniuzia hicho kiwanja, na tangia naanza ujenzi anafahamu, hadi hapo ilipofikia.Siwezi kudalalia kituIsije ikawa wewe ni dalali?
Kwa maelezo yako hiyo nyumba ikishakuwa na umeme, mpangaji utapata hata zaidi ya laki2, kamilisha hilo kwanza hakuna mtu wa kutumia mishumaa na vibatari mjini kwa sasa...
Hilo liko mbioni mda si mrefuIsije ikawa wewe ni dalali?
Kwa maelezo yako hiyo nyumba ikishakuwa na umeme, mpangaji utapata hata zaidi ya laki2, kamilisha hilo kwanza hakuna mtu wa kutumia mishumaa na vibatari mjini kwa sasa...
Mkuu weka na picha,ukimaliza kuweka umeme na fense nakutafutia mteja fasta.Asante mkuu kwa ushauri wako
Ok, sikuwa na nia mbaya mkuu!Mkuu kuna mwana jf ananijua vizuri, ndio aliniuzia hicho kiwanja, na tangia naanza ujenzi anafahamu, hadi hapo ilipofikia.Siwezi kudalalia kitu
Asante mkuu ila hapo kwa ninavyojua siwezi pata zaidi ya laki mbili, kwa ufahamu wangu. Ndio maana nataka hizo hela za fensi si chini ya mbili, ili iwe bora nizipeleke huko kwengine ambapo nikiongezea kidogo namaliza na nakunja 150,000 kwa mwezi, maana yenyewe ni ndogoMkuu weka na picha,ukimaliza kuweka umeme na fense nakutafutia mteja fasta.