Kwanini mkuu,hebu fafanuakwa eneo ulilotaja unganisha umeme na fence ndio urudi na utuambie kama kuna maji ya aina gani karibu
Mkuu nyumba iko full, umeme ndio nafatilia, ila vitu vingine vipo sawa. Je kwa hatua hiyo nipangishe kwa bei gani, maana hakuna mtu wa kukaa huko, naomba ushauri wakoKwa hiyo unataka mtu alipe kodi ya laki na nusu alafu nyumba ya giza kisa ina choo cha ndani.
Maji ya huko ni ya kununua, kama sehemu nyingi za uko unavyofahamu. Ila kuna jirani ana maji, sasa uamuzi ni wa mtu anayeishi hapo karibu.Je unaweza nishauri kwa hatua hiyo nipangishe kwa bei gani, maana hakuna mtu wa kukaa hapokwa eneo ulilotaja unganisha umeme na fence ndio urudi na utuambie kama kuna maji ya aina gani karibu
Jipangishie mwenyewe kwanza wakati unarekebisha issue ya umeme.Wakuu nipeni ushauri hapo na mwongozo
Dah we jamaa umenifanya nicheke, hiyo nimejenga kwa ajili ya kupangisha, wewe nipe ushauri naweza kupangisha kwa kiais gani kwa sasa kabla ya umeme.Ila hautochukua mdaJipangishie mwenyewe kwanza wakati unarekebisha issue ya umeme.
tena ungeanzia LAKI MBILI ila haa hutakosa waangaji nakuhakikishia maana ukiweka bei ya chini sana haitaswihiMaji ya huko ni ya kununua, kama sehemu nyingi za uko unavyofahamu. Ila kuna jirani ana maji, sasa uamuzi ni wa mtu anayeishi hapo karibu.Je unaweza nishauri kwa hatua hiyo nipangishe kwa bei gani, maana hakuna mtu wa kukaa hapo
Mkuu naomba ushauri wa moja kwa moja, ni kiasi gani kwa sasa naweza pangisha. Wewe unapafahamu, naomba mwongozo wakotena ungeanzia LAKI MBILI ila haa hutakosa waangaji nakuhakikishia maana ukiweka bei ya chini sana haitaswihi
Kumbe sio habaelf80
Anza na 130000[/QUOTE
Kweli, sio haba
Mkuu ni kweli, ila usafiri mpaka saa sita usiku upo, maji jirani anayo, kwa ufupi useme umeme, na mbali na mjini ila mengine sio tabuAnza na elfu 50 hiyo nyumba isiyo na umeme ukiweka umeme utaongeza maana huko kila kitu ni tabu
Fanya 180,000/=Dah we jamaa umenifanya nicheke, hiyo nimejenga kwa ajili ya kupangisha, wewe nipe ushauri naweza kupangisha kwa kiais gani kwa sasa kabla ya umeme.Ila hautochukua mda
Mkuu wadau wameniambia 80 to 100, sasa hapo si nitakosa mpangaji, maana hiyo 150 wadau wamekataa, sasa 180 tena. Hebu nifafanulieFanya 180,000/=
Mkuu hongera kwanza pili kwa bei 150,000 sio ishu ila pambana na tanesco wafanye yaoMkuu ni kweli, ila usafiri mpaka saa sita usiku upo, maji jirani anayo, kwa ufupi useme umeme, na mbali na mjini ila mengine sio tabu