golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Siku huyu mtu akitaja location ni tag pleaseWakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande WA kuvutia
Simu 0716411720View attachment 607133
Nilisahau, ni mbezi msakuzi, kituo freetownMwene chunguMsakuzi said:Sasa unaweka tangazo bila kutaja sehemu?
Mbezi Msakuzi, kituo Freetown kwenda mpigi magoheMahali ilipo...?
Mimi sio mhuni, niliposti nikiwa nafanya shughuli nyingine kimakosa, baada ya kuatachi picha zingine, nikaclick kwenye create threadSmjini post: 23901795 said:Siku huyu mtu akitaja location ni tag please
Wakina naniNgoja waje mkuu
Utavyoona yote sawaHii nyumba ninya kubeba au .. ile nijue nakuja na Kapu.
Picha hii ni ya zamani, Sana. Picha zote za zamani, sijapiga Mpya.Hapo ni kipindi marekebisho ya ujenzi yakiendeleaNitakucheki early Nov nitakupokuwa huko.
Miezi sita tuUnalipia kwa mwaka au miez6??
πππHii nyumba ninya kubeba au .. ile nijue nakuja na Kapu.