Nyumba inapangishwa, 120,000

Nyumba inapangishwa, 120,000

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
IMG-20171021-WA0019[1].jpg
IMG-20170917-WA0026.jpg
IMG-20170917-WA0043.jpg
Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande A kuvutia

Eneo: Ni mbezi msakuzi, kituo freetown

SimuView attachment 607133
 

Attachments

  • IMG-20171021-WA0030[1].jpg
    IMG-20171021-WA0030[1].jpg
    104.1 KB · Views: 137
Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande WA kuvutia

Simu 0716411720View attachment 607133
Siku huyu mtu akitaja location ni tag please
 
Smjini post: 23901795 said:
Siku huyu mtu akitaja location ni tag please
Mimi sio mhuni, niliposti nikiwa nafanya shughuli nyingine kimakosa, baada ya kuatachi picha zingine, nikaclick kwenye create thread
 
Picha zote hizi ni za zamani. Mpya sijapiga maana kuna maboresho mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom