Nyumba inaitajika haraka iringa

Nyumba inaitajika haraka iringa

mtanzalendo

Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
74
Reaction score
121
NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana. Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Mkwawa, Gangilonga , Ilala ,Frelimo, Makorongoni ama Mshindo Kodi yake isizidi zaidi ya 200,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu kwa mara moja au miezi 6.
iwe kwenye muonekano mzuri ndani ya geti na ijitegemee.
Angalizo: hatuhitaji dalali tunataka mwenye nyumba mwenyewe kuwasiliana nasi. kama una nyumba yenye sifa hizo wasiliana kwa PM.
 
Hebu pekua pekua vizuri humu, kuna mtu alikua ananyumba nzuri sana huko huko IRA, ila sijajua eneo lake.. ila tafuta uzi wake utaipata.
 
Hebu pekua pekua vizuri humu, kuna mtu alikua ananyumba nzuri sana huko huko IRA, ila sijajua eneo lake.. ila tafuta uzi wake utaipata.
sawa kiongozi.. ila nilipitia before sijaanzisha mada maybe nitazame tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom