Chumba na sebule vinahitajika. Maeneo iwe Kimara, Ubungo ama sehemu ya karibu na barabara yapitayo magari ya mwendokasi ili iwe rahisi kufika Stesheni. Iwe na umeme na maji. Gharama isizidi 100,000/=. Ulipaji miezi mitatu mitatu hadi sita. Kuwe na umeme na maji.