Bukya
Senior Member
- Apr 1, 2014
- 196
- 121
Mtu mmoja raia wa Malawi aliachishwa kazi ghafla katika kampuni moja ya madini huko Afrika Kusini. Pia alilazimishwa kuhama katika nyumba ya kampuni hiyo. Huyo jamaa akagoma kukabidhi nyumba. Asubuhi moja maafisa wa kampuni wakakuta nyumba imetoweka kimebaki kiwanja tu. Wanasayansi wanaendelea na utafiti maana nyumba haikubomolewa na inaonekana katika kijiji kimoja huko Malawi.