Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,957 Apr 2, 2015 #1 Attachments nyumba hiyo.jpg 128.7 KB · Views: 347 nyumba tena.jpg 125.6 KB · Views: 328
G guti JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 222 Reaction score 77 Apr 3, 2015 #2 Mmmmh mimi ngoja nipite huku,tusubili wajuzi...
Bei Mbaya JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,262 Reaction score 857 Apr 3, 2015 #3 Fundi aliyepaua bati anajua, lakini kwa standard ya madirisha ya choo&bafu inatakiwa course 3 na sio hizo 2
Fundi aliyepaua bati anajua, lakini kwa standard ya madirisha ya choo&bafu inatakiwa course 3 na sio hizo 2
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,359 Apr 3, 2015 #4 Imezama upande na alibomoa huo upande akajenga upia na ndio maana hata hiyo sehemu lental hakuna. Pc no 1
Imezama upande na alibomoa huo upande akajenga upia na ndio maana hata hiyo sehemu lental hakuna. Pc no 1
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,954 Reaction score 7,007 Apr 3, 2015 #5 INAUKUBWA GANI?MPAKA HAPO IMETUMIS SH NGAPI/ wapi huko?
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,154 Apr 3, 2015 #6 Fundi Paa kafanya kazi nzuri. Ila sijaelewa, huu upande mwingine ipo kama inaanguka.
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,563 Reaction score 1,393 Apr 3, 2015 #7 na izo nyufa zlzozbwa kulkon?
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Apr 3, 2015 #8 Nyumba ipo upande upande fundi analipua!!!Dirisha moja liko upande na limezidi jingine kwa ukubwa!!
Prezidah JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 750 Reaction score 182 Apr 3, 2015 #9 Mlango mdogo siwezi kupita mimi
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,034 Apr 3, 2015 #10 imejengwa kiujanjaujanja hii..Mungu saidia isije kuleta maafa mbeleni
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,034 Apr 3, 2015 #11 Prezidah said: Mlango mdogo siwezi kupita mimi Click to expand... pic ya mwili wako imekuja gafla kichwani..nikabaki nacheka tu
Prezidah said: Mlango mdogo siwezi kupita mimi Click to expand... pic ya mwili wako imekuja gafla kichwani..nikabaki nacheka tu