Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Zinaa zinaa zinaa hadi kiama.
Acha kupotosha watu zinaa wakati ni makubaliano ya wawili wamegane kwa siri kali!
Zinaa zinaa zinaa hadi kiama.
huyo ndo mume ulojichagulia....'kwa shida na raha, uzima na maradhi...' remember?
all in all if i ever get to know that jamaa ana kakibanda......patachimbika
Eh! Nlikua cjui kumbe RUKSA. Sasa dada nikitaka kuoa ntaku PM unitafutie kabinti kamoja portable kutoka katika ukoo wenu. Maana mimi ni msiri mmoja mkubwa sana. Si tatizo hilo. Au?.....
msimamo wangu Mpwa ndo huo! we are making them stay! and my argument is, if they are so 'inevitable' why do u keep 'em secret? hivi wenzetu waislamu wana nyumba ndogo pia? manake wao no sunna hadi wanne! ama hakuna limit ya namba? (nisije nikafungua kiboksi cha pandora mpwa!)
HAHAHAHAHAHAHA!my baby boy, cna mengi hapa! mcmamo wangu ni kwamba kama anae/hana atajijua mwenyewe, lakini chonde chonde hiyo itakuwa purukushani ya aina yake, afanye mpaka nijue kwa kweli kwangu hiyo ni dharau tosha, halafu linanijua vizuri yaani nitaharibu mazima kama mbaya iwe mbaya.
Ohh my dear! Lakni ndio nampenda sasa.Lakini naomba endelea na moyo huo wa kunisaidia kumlinda.
By the way iam sorry sikuwepo w'end,nilikuwa na hamu ya kukuona .Hata hivyo nilipata salamu zako kutoka kwa shemejio(sore ofu topik)
ndio maana mtu akimega nje ya ndoa na mkewe ana kuwa na possibility kubwa ya kumegwa...,
pamoja na viapo vyote ulivyoapa siku ile alipo kuwa anaosha vyombo na mtoto mgongoni??!!
Eti.....! Hivyoe? Dah, nlikuwa sijuagi.
endelea kumpenda dear....ni wako tu no matter wat msije mkamtesa binti yenu buree
hizo nyumba ndogo za kupita tu...
usijali ile geti tugeza yetu ya wadada si ipo...tutaonana pale
ukifuatilia mabandiko mengi ya nyamayao na fl1 utaona wamesisitiza kwamba TUFANYE SIRI.....msimamo wangu Mpwa ndo huo! we are making them stay! and my argument is, if they are so 'inevitable' why do u keep 'em secret? hivi wenzetu waislamu wana nyumba ndogo pia? manake wao no sunna hadi wanne! ama hakuna limit ya namba? (nisije nikafungua kiboksi cha pandora mpwa!)
hahaaa triplets usinisingizie, ZD ndo mambo yake yale lol!!!
Kuna jamaa ana ka-small house huwa akitoka asubuhi mapema mno anaenda hapo anakula mzigo halafu anaenda kazini! Saa 12 jioni yupo home! Mkewe anamwona mwaminifu kweli kumbe jamaa ana ka tekniki fulani hapo
ukifuatilia mabandiko mengi ya nyamayao na fl1 utaona wamesisitiza kwamba TUFANYE SIRI.....
Eh! Nlikua cjui kumbe RUKSA. Sasa dada nikitaka kuoa ntaku PM unitafutie kabinti kamoja portable kutoka katika ukoo wenu. Maana mimi ni msiri mmoja mkubwa sana. Si tatizo hilo. Au?.....