Nyumba chakavu zinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba chakavu zinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Apr 16, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nyumba chakavu 4 zinauzwa zikiwa katika viwanja tofauti 3 zipo kinondoni shamba moja ipo keko. kati ya hizo tatu moja unaweza paki gari mpaka mlangoni na hizo mbili gari hazifiki. nyumba hizi ni nzuri kwa mtu anayetaka nyumba katikati ya mji. unaweza nunua na kuzibomoa kwa maelezo zaidi tuwasiliane
  0686 200 117, 0755 099 291, na 0657145555 info@havilla.net. thomasnelson564@yahoo.com. contact person Thomas. havilla Real Estate Agent
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  weka na bei zake mkuu, ili tujue zinaenda ngapingapi?
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,386
  Trophy Points: 280
  More details mkuu, nimekupigia soon!!
   
 4. I

  Iddy Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu tuwekee bei ili tujicheki mfukoni kama zinatosha.
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nakumbuka asante kwa cm yako. bei zake zimeanzia 37m iliyoko keko. na 70m mpaka 90m zilizoko kinondon shamba, pia kuna nyingine inauzwa 38 tuzidi kuwasiliana mkuu
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nipigie nitakwambia bei zake mkuu!
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  pia kuna nyumba ipo kinondoni shamba gari nafika mpaka mlangoni bei yake ni 35m. zaidi tuwasiliane
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  kiwanja kina ukubwa gani?, maana huko kuna viwanja vya mpaka kumi kwa kumi
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hiki ni kikubwa kimejengwa chote inaweza kuwa 40 urefu upana 20 sio mtaalam wa vipimo lakini kinatosha kujenga nyumba moja kubwa na eneo likabaki
   
Loading...