kombaME JF-Expert Member Aug 24, 2015 2,115 2,809 Dec 12, 2017 #1 Unaanza maisha umepata zari la kuzawadiwa kimoja, gari au nyumba, unachagua kipi??
Ndetirima JF-Expert Member Oct 4, 2011 1,008 784 Dec 12, 2017 #3 Huwezi kulinganisha nyumba na Gari. Gari thamani yake inashuka kila kukicha wakati Nyumba inapanda kutokana na kiwanja kutokushuka thamani. Nyumba ndio mpango mzima.
Huwezi kulinganisha nyumba na Gari. Gari thamani yake inashuka kila kukicha wakati Nyumba inapanda kutokana na kiwanja kutokushuka thamani. Nyumba ndio mpango mzima.
MWEN JF-Expert Member Apr 19, 2012 218 202 Dec 12, 2017 #5 Numbisa said: Ntachagua nguo Click to expand... Kwa sababu gari na nyumba unavyo JF raha
mng'ato JF-Expert Member Oct 27, 2014 29,204 48,984 Dec 16, 2017 #6 Jenga nyumba ibomolewe kama TANESCO Ubungo
Msambwata JF-Expert Member Nov 20, 2017 1,307 1,499 Dec 17, 2017 #8 Kwa kuzawadiwa nachagua mjengo ila kwa jasho langu naanza na gari mkuu kuepuka kero za majasho