Seems they are good houses...but 1,000k/pm?....and how many months to be paid for in advance?
Ziko Mwananyamala A, DSM. Ni za kisasa na hadhi ya juu kabisa na vitu vifuatavyo;
Electrical fence, kwa ujumla mfumo wa kisasa wa ulinzi, A/C full kwenye "master" na sebuleni, vyumba 3 vyakulala na kimoja "master", line mbilimbili za maji hivyo maji ni uhakika 100%, kila moja inaweza kuingiza gari ndogo tatu, barabara ya lami hadi mlangoni ujirani mwema mzuri, eneo lote la ndani ya uzio wa kila nyumba limesakafiwa likiwa na maua hapa na pale n.k
**Kila moja inapangishwa kivyake.
Bei inaanzia 1,000,000/ Tzs kwa kila nyumba kwa mwezi, lkn maongezi yapo..
Piga simu 0773 244254
Samahani dalali hatakiwi wapendwa!
kwanza karibu sana hapa JF, lakini naomba nikuulize wewe ni dalali au ndio mwenye hiyo mijengo, aisee unajua haya mambo ya kupangisaha inategemea na lication, hata kama nyumba hiko nzuri kiasi gani lakini location in matter, kwa hiyo bei ya 1k kwa mwezi kwa kweli ni kubwa sana hebu jipange vizuri uje na bei ambayo haina maongezi, hii ya kusema pungufu tutaongea ndio inakuwaga na mashaka
Nashukuru ndugu yangu, mie sio dalali. Kuhusu Location usitie shaka hilo limezingatiwa, na hiyo Mwananyamala siyo ile yenye patashika tele! Hiyo sehemu imetulia mno, naamini utaipenda kwa asilimia100% na mengine ni kama nilivyoeleza hapo juu.
Karibu..
Lete picha zake tuone. Ila Mwananyamala kwa 1M kwa mwezi! Mhhhhhh! Hizo ni bei za Masaki na Oyster Bay rafiki.
nashukuru ndugu yangu, mie sio dalali. Kuhusu location usitie shaka hilo limezingatiwa, na hiyo mwananyamala siyo ile yenye patashika tele! Hiyo sehemu imetulia mno, naamini utaipenda kwa asilimia100% na mengine ni kama nilivyoeleza hapo juu.
Karibu..
Jamani niseme tu ukweli nimefurahia sana response zenu ni nzuri tu.
Nitumie meseji au nipigie simu yangu iko hapo juu, bei tutaelewana (punguzo lipo) msitie shaka....
Jamani niseme tu ukweli nimefurahia sana response zenu ni nzuri tu.
Nitumie meseji au nipigie simu yangu iko hapo juu, bei tutaelewana (punguzo lipo) msitie shaka....