Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,633
- 3,534
Huo msemo unauma kote kote,kinyume chake inawezekana pia.Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.
Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.
The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.
Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama yake.
Women only come later and not before. They appear when the deal is done.
Focus my brothers
Mwanaume unaweza kumpenda mwanamke yeye kama yeye hata kama uyo mwanamke akiwa fukara asie na future yoyote lakini mwanamke anakuja kwa mwanaume akiona mbegu zimeanza kumea au kama haujapanda chochote basi angalao izo mbegu za kupanda uwe nazo.Huo msemo unauma kote kote,kinyume chake inawezekana pia.
Mafanikio ya yeyote yanawezekana baada ya mmoja kumuacha mwenzake.
Of course our love always yako kihisia zaidi, that's why whenever it happens we love opportunistic ladies lazima mapenzi yafe.Mwanaume unaweza kumpenda mwanamke yeye kama yeye hata kama uyo mwanamke akiwa fukara asie na future yoyote lakini mwanamke anakuja kwa mwanaume akiona mbegu zimeanza kumea au kama haujapanda chochote basi angalao izo mbegu za kupanda uwe nazo.
When it comes to love relationship women are opportunistics while men strive be hero of those women. We as men we have to change the game.
Wanawake wengi are like parasites. Hawapendi shida na wanasema wao wiumbwa kupokea tu na siyo kutoa. Angalia hata kwenye yako wengi wa wanawake ni wapokeaji tu, wanapenda maisha mseleleko ka-kitonga.Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Halafu ukitoboa anakuambia alijitoa kwako nyakati za shida huku ukifanya mapitio ya hustles zako za kujitafuta unaona alichokua ana-provide ni kumer tu.Wanawake wengi are like parasites. Hawapendi shida na wanasema wao wiumbwa kupokea tu na siyo kutoa. Angalia hata kwenye yako wengi wa wanawake ni wapokeaji tu, wanapenda maisha mseleleko ka-kitonga.
Na kinachoshangaza akiambia watu alikukimbia kisa huna hela na yeye hapo hana kazi kuna watu watamsapoti😂Ukweli halisi ni kwamba mwanamke uliye naye akipata best option anakukimbia. Huo ndio ukweli halisi
Kwani Biblia inasemaje kuhusu wanawake?Wanawake wengi are like parasites. Hawapendi shida na wanasema wao wiumbwa kupokea tu na siyo kutoa. Angalia hata kwenye yako wengi wa wanawake ni wapokeaji tu, wanapenda maisha mseleleko ka-kitonga.
Noma sanaNa kinachoshangaza akiambia watu alikukimbia kisa huna hela na yeye hapo hana kazi kuna watu watamsapoti😂
Kusema kwamba mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya sex ni sawa na kusema kwamba mawingu hayana cha kuoffer zaidi ya mvua by the way wanaume mnaoffer nini kwa wanawake, yani mwanamke achangie hayo halafu mwisho wa siku ukifanikiwa uje uhonge michepuko (ambayo haikuchangia chochote kwenye mafanikio yako) kwa kisingizio kwamba mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja, bro iko hivi siku hizi wanawake hawawezi kuoffer chochote kwa 'wanaume' zaidi ya sex kwa sababu mkifanikiwa huwa hamna shukurani fullstopKUjitoa kwa ku-provide kumer? HATUDANGANYIKI.. Changia mtaji wa kuanzisha biashara ya maana mwanaume wako akiwa tajiri ndio useme umejitoa, changia ada ya chuo mwanaume wako akipata kazi nzuri ndio useme umejitoa.
Upendo wa mwanaume ni halisi hatuwezi kuwatupa washkaji zetu waliotuinua katika nyakati ngumu iweje tuwatupe mademu zetu waliotuinua pia? sikatai kwenye kila kitu kuna exception lakini ukweli ni kwamba man's love is unconditional while woman's love is transactional.Kusema kwamba mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya sex ni sawa na kusema kwamba mawingu hayana cha kuoffer zaidi ya mvua by the way wanaume mnaoffer nini kwa wanawake, yani mwanamke achangie hayo halafu mwisho wa siku ukifanikiwa uje uhonge michepuko (ambayo haikuchangia chochote kwenye mafanikio yako) kwa kisingizio kwamba mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja, bro iko hivi siku hizi wanawake hawawezi kuoffer chochote kwa 'wanaume' zaidi ya sex kwa sababu mkifanikiwa huwa hamna shukurani fullstop
Ukamuoa?Uongo wa hali ya juu sana!
Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.
Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..
Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!
Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi
Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua
All these blames should not Face all women..
Acha uongo wewe hakuna jinsia yenye unconditional love labda kama hujui maana ya hayo maneno, hata wanaume wana sifa zao wanazoziangalia kwa wanawake, na siku hao wanawake zao wakiishiwa hizo sifa basi upendo nao hufaUpendo wa mwanaume ni halisi hatuwezi kuwatupa washkaji zetu waliotuinua katika nyakati ngumu iweje tuwatupe mademu zetu waliotuinua pia? sikatai kwenye kila kitu kuna exception lakini ukweli ni kwamba man's love is unconditional while woman's love is transactional.
Sasa tumeshasema mafanikio yetu ni jitihada zetu unalazimisha nini? Acha kulazimisha umuhimu kwenye maisha ya watu kama umlisaidia mtu atakutambua bila ya wewe kulazimisha.Acha uongo wewe hakuna jinsia yenye unconditional love labda kama hujui maana ya hayo maneno, hata wanaume wana sifa zao wanazoziangalia kwa wanawake, na siku hao wanawake zao wakiishiwa hizo sifa basi upendo nao hufa
Halafu tatizo siyo kuwatupa tu hao wanawake, tatizo ni kuchepuka na kuhonga vihawara ambavyo havikuwepo kwenye safari yenu ya mafanikio, kwa kisingizio kwamba mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja tu
Halafu wewe inaonekana huijui saikolojia ya binadamu, kwani hujui kwamba ufanisi katika utafutaji wa mwanaume unategemea vitu vingi ukitoa nguvu na akili zake, kwani hujui kwamba tabia za mwanamke zina mchango katika ufanisi wa mwanaume kuongezeka au kupungua
Mwanaume hawezi kufocus ikiwa mwanamke wake anamvuruga kila siku, ila mwanamke akiwa anamfariji na anamliwaza inamsaidia mwanaume kuwa na amani na utulivu katika kufanya shughuli zake, hata kama anakupa sex tu kumbuka hiyo hiyo sex ni muhimu na usipoipata akili yako haiwezi kufanya kazi vizuri hasa kwa mwanaume
Na hata hizo kazi za nyumbani mnazozidharau huwa mnafurahia pale wanawake wanapozifanya na wasipozifanya mnaanza kuona nyumba chungu, sasa wewe unawaza financial support tu unasahau kwamba kuna emotional support ambayo ni muhimu pia na ukiikosa unaweza kujikuta unafanya mambo ya hovyo tu, na mwanaume hana mtu mwingine wa kumpa hiyo emotional support zaidi ya mwanamke
Acha kupanic jifunze kukubali ukweli mchungu hata kama haukufurahishi halafu punguza chuki na hasira dhidi ya wanawake wao siyo chanzo cha umasikini wako, wewe kama huoni kuwa kuna wanaume wanaofanikiwa kwa sababu ya wanawake walionao basi hayo ni matatizo yako usilazimishe nadharia zako za kipumbavu ziwe uhalisia, wewe mwenyewe hapo ulipo unaoffer nini kwa mwanamke uliyenaye tuanzie hapo kwanza mbona wewe unalazimisha kwamba wanaume wana vya kuoffer kwa wanawake ilihali wanawake wanasema hawaoni wanachofaidikaSasa tumeshasema mafanikio yetu ni jitihada zetu unalazimisha nini? Acha kulazimisha umuhimu kwenye maisha ya watu kama umlisaidia mtu atakutambua bila ya wewe kulazimisha.
Acheni misemo ya kijinga jinga iyo sisi sio watoto wadogo tunajua nani alitusaidia, nani alitufungia vioo, nani alikua chawa tu baada ya kuona hapa kuna potential ya kunufaika.
Nyuma ya mafanikio yetu kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sara za mama na dada zetu, period.
Siwezi ku-offer chochote kwa mwanamke zaidi ya kumpiga mashine ndio maana hata leo hii akitoboa siwezi kusema nipo nyuma ya mafanikio yake ivyo ivyo nae aninufaishi chochote zaidi ya kunipa kumer kwaiyo nikitoboa asilete shobo.Acha kupanic jifunze kukubali ukweli mchungu hata kama haukufurahishi halafu punguza chuki na hasira dhidi ya wanawake wao siyo chanzo cha umasikini wako, wewe kama huoni kuwa kuna wanaume wanaofanikiwa kwa sababu ya wanawake walionao basi hayo ni matatizo yako usilazimishe nadharia zako za kipumbavu ziwe uhalisia, wewe mwenyewe hapo ulipo unaoffer nini kwa mwanamke uliyenaye tuanzie hapo kwanza mbona wewe unalazimisha kwamba wanaume wana vya kuoffer kwa wanawake ilihali wanawake wanasema hawaoni wanachofaidika
Sasa mbona ulishaanza kuleta blah blah, za kusema eti mapenzi ya wanaume ni unconditional sijui upuuzi gani, anyway ndio uache sasa kulialia kuhusu wanawakeSiwezi ku-offer chochote kwa mwanamke zaidi ya kumpiga mashine ndio maana hata leo hii akitoboa siwezi kusema nipo nyuma ya mafanikio yake ivyo ivyo nae aninufaishi chochote zaidi ya kunipa kumer kwaiyo nikitoboa asilete shobo.
Bichwa lako gumu kuelewaSasa mbona ulishaanza kuleta blah blah, za kusema eti mapenzi ya wanaume ni unconditional sijui upuuzi gani, anyway ndio uache sasa kulialia kuhusu wanawake
Iyo ndio point uliyoiona kwenye andiko zima?Hii kali "sara" za mama ake