Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.Wengi humu kinachowakuta ni kuutamani msiba wa wengi, kutafuta pa kupumulia baada ya kukutana na vipigo vya wanawake wa mjini. Tamanio la kiubinadamu kuwa si mimi tu, kuna yule na huyu na yule.
Ndo maana ukiingiza "mama" wanatoa exception za mama zao, utasikia ukitoa mama yangu, wanasahau kuwa huyo mama yake ni mwanamke wa baba yake si mwanamke wake, na pengine ameshawahi kuwa na mwanaume akamfilisi kabla hajakutana na baba yake na kuwa mama kwake.
Maisha hayapo fixed kuwa njia ni hii. Watu wanabadilika, Unakutana na mwanamke mhuni wa leo kwako ila ni malaika wa kesho kwa mwanaume mwingine.
Unakutana na mwanamke malaika wa leo kwako anageuka mhuni wa kesho kwa mwanaume mwingine au unakutana na malaika mwanzo mwisho au vice versa hakuna general rule.
Wapo wanaume wamefanikiwa kupitia wanawake, wapo wanaume wamefilisiwa na wanawake, wapo wanaume wamewadhulumu wanawake mali zao kwa jina la mapenzi.
Wapo wanawake wanataka fedha zako tu, na wapo wanawake wanataka uwe baba kwa familia na akakuvumilia hata ukiwa huna kitu na akanyanyuka na wewe unapokuwa na kitu.
Ok bossSasa hapo wewe ndie umefanya generalization ya mada. Umefanya jumla au kutafuta wastani. But in reality mleta uzi haja assume facts, ameongea uhalisia.
Kuna vitu ambavyo kwasasa huwezi sema ni vya wastani wakati vimepitiliza hadi ile kawaida.
Ok, sahihi kabisa.Hivi vitu unavyosema mwanamke anafanya kwenye mahusiano ya sasa utakuwa unadanganya. Umeongea kinadharia sana. Mabinti wa sasa wapo kimkakati sana. Ukiona anamfulia mwanaume anamfanyia hayo yote basi jua mwanaume kuna mzigo wa bili analipa kwa huyo mwanamke ambao kwa mwezi haupungui laki 3. Kuanzia saloon, chakula, bodaboda, vocha, mitoko, mavazi, madeni, kusapoti familia yake indirectly, na kadhalika. Hivi tayari vinafanya idea kuwa huyu mwanamke ni yupo hapo kujitoa kimapenzi kuwa ni ys uongo na utapeli. Hapo huyo mwanamke kaja sababu anatafuta unafuu wa maisha hali si nzuri, ila sio kwasababu ana mapenzi ys dhati.
Ok, upo sawa mno mkuuSpecifically hapa kwenye huu mjadala mwanamke anaezungumziwa si mama, shangazi, mamamdogo, mama mkubwa wala bibi. Ni mke, mpenzi, mchumba au mchepuko.
Ok mtaalam.Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.
Kizazi hiki cha sasa cha wanawake wanachokileta katika maisha ya mwanaume si support bali changamoto zao personal. Na ndio maana single mothers ni wengi sana na mabinti ambao wanajinasibu kuwa ni single ila behind the scenes wagongwa na wanaume hata watano kwa wakati m'moja ni wengi sana.
Uko wapi.....Why umeassume ana maumivu? Why mwanaume akizungumza negative side ya mwanamke inaonekana au kuchukuliwa ni attack na sio aina ya elimu ambayo wanaume especially watoto wa kiume wanatakiwa kumezeshwa mapema?
Why? [emoji848]
Unajua sana.Ni kama unalazimisha kusawazisha ukweli ufanane na fikra zako jambo ambalo si kweli. Kwa sasa tuonger ukweli, women born from the late 1980's kuja huku 2000 lack that important characteristics set that makes them women to men.
Kizazi hiki cha sasa cha wanawake wanachokileta katika maisha ya mwanaume si support bali changamoto zao personal. Na ndio maana single mothers ni wengi sana na mabinti ambao wanajinasibu kuwa ni single ila behind the scenes wagongwa na wanaume hata watano kwa wakati m'moja ni wengi sana.
Hold your emotions boo…. Hii ni JF ukiandika utajibiwa…. tutakujibu tunavyoweza na tulivyoelewa. Tumekasirika? nope… nothing is real personal….Kitu ambacho wanawake hampendi na huwa mnachukia kuona ni wanaume wakiwa wanapeana elimu na kufumbuana macho maana hiyo inamaanisha awareness inaanza kusambaa kwa wanaume na wanaanza kuwashitukia kwa udhalimu wenu mnaofanya kwa chini chini.
Sasa mleta uzi hakuandika uzi ili wanawake msome kisha mkasilike au mjali, aliandikia wanaume wenzake ili kutengeneza awareness. Ninyi kujali au kutojali haibadilishi yale aliyoyasema ndani ya uzi sababu hakuwalengi ninyi bali sisi wanaume.
Sinza hapa muda huu. Unataka kuja?Uko wapi.....
Me nipo hapa daily nasoma tu nyuzi.Hold your emotions boo…. Hii ni JF ukiandika utajibiwa…. tutakujibu tunavyoweza na tulivyoelewa. Tumekasirika? nope… nothing is real personal….
hakukuwa na disclaimer kuwa wanawake tusijibu!
Btw, ulienda wapi? karibu tubishane! [emoji23]
Nakupigia pokea simu basi jamani......Sinza hapa muda huu. Unataka kuja?
Kufanya arguments na wewe hua ni kupoteza Mda.... Umejijibu vizuri apo mwishoni.JF hatufahamiani tulio wengi…. kupitia maandishi utafahamu behaviour patterns za mhusika, kuna mambo hayadanganyi…. chukua hii weka mfukoni.
Mtu aliyeenda Shule akapata MAARIFA, atajenga hoja yake kwenye objectivity, kuna tatizo gani kutumia maneno “baadhi” au “sio wote”
Binafsi ni aina ya mwanamke anayemzungumzia mleta mada, sina mchango kwenye maisha ya mwanaume, However kuna wanawake out there nawafahamu ni “wanawake bora” is it fair na wao wakiwekwa kundi moja na Mimi?
Think.
Sikumbuki kufanya argument na wewe brother-kaka, au maltipo aidi?Kufanya arguments na wewe hua ni kupoteza Mda.... Umejijibu vizuri apo mwishoni.
Kakutana na jini hukookomenti hii inakubali komenti hii inakataa msinichanganye bakini na mambo yenu! ila inaonekana kuna malaika na shetani inategemea umekutana na malaika yupi wa shetani au wa mbingu!...
kila mmoja akajichagulie malaika wake sasa
True. They don't want a scrub. A scrub by definition of the song " No scrub " by TLC is a guy with no money.We can put it in this way and still makes sense
"Behind every successful man there's woman,.... yes because no woman follows unsuccessful man"