Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji13]Nakupenda sana. Nyuma ya kibodi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Naanza kwa kucheka Mana najionea Hadi huruma
Nyuma ya kibodi ,najua kujieleza vibaya sana stori za hapa na pale ,najua kujitetea Sana
Live:Siyo muongeaji, siwezi kujitetea (japo Nina ujasiri),Sina stori Wala Nini ,watu wengi Sana huwa wanasema dada mbona wewe mpole Sana,unatia huruma Sana
Ukiniuzi naweza kulia ,ukitaka vichambo (Kama nimekasirika ) Basi tutumie sms
Live unanionea tu,[emoji24][emoji24][emoji1751][emoji134],nilikutana na wadada dizain ya wadada wa mwananyamala nahisi sintaongea kabisa
Kwa mpenzi wangu naweza nikawa naye Ila nikamtext Kama Kuna kitu nahitaji kumwambia (aibu)
Tuambie nyuma ya kibodi upoje
NakuonaKivuruge
Baharia nyuma ya kibodi live malizia mwenyeweDaah nikipata mademu wapole huwa nawaonea sana hata sijui kwa nini
HahahahahaaNyuma ya kiibodi unaweza ukamkashifu jiwe, bashite, nk. Ukikutana nao live sasa, full respect! shikamoo mara mbili mbili hata kama umewazidi umri.
HahahahaaBinafsi tunafanana hapo kwenye kumuomba mpenzi naweza nikawa na shida nisiweze kusema ikinikaba sana natuma meseji, vilevile nyuma ya kibodi mimi mkali balaa ukinizingua aisee hutaamini kama ndo mimi sipendagi kusema sana na huu uchibonge wangu nakuvizia tu nikikukalia umeumia maneno mengi sipendagi!!! Kingine mimi ni mvumilivu mnoo ila nikisema imetosha aisee lazma unitafute na tochiii..
nikajua nyuma ya ki body kuna chura kumbe unasema nyuma ya hizi IDs zetu. ok mm mpenzi msomaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Naanza kwa kucheka Mana najionea Hadi huruma
Nyuma ya kibodi ,najua kujieleza vibaya sana stori za hapa na pale ,najua kujitetea Sana
Live:Siyo muongeaji, siwezi kujitetea (japo Nina ujasiri),Sina stori Wala Nini ,watu wengi Sana huwa wanasema dada mbona wewe mpole Sana,unatia huruma Sana
Ukiniuzi naweza kulia ,ukitaka vichambo (Kama nimekasirika ) Basi tutumie sms
Live unanionea tu,[emoji24][emoji24][emoji1751][emoji134],nilikutana na wadada dizain ya wadada wa mwananyamala nahisi sintaongea kabisa
Kwa mpenzi wangu naweza nikawa naye Ila nikamtext Kama Kuna kitu nahitaji kumwambia (aibu)
Tuambie nyuma ya kibodi upoje
Hata chura yuponikajua nyuma ya ki body kuna chura kumbe unasema nyuma ya hizi IDs zetu. ok mm mpenzi msomaji
Hata nyie,mnaijua kumwaga Sera live,mnazunguka ubuyumnakuwaga na kibri sana.
habana me ni kama wewe, tuna kibri.Hata nyie,mnaijua kumwaga Sera live,mnazunguka ubuyu
tutafutane basi . hiyo avata ni ww ?Hata chura yupo
Kumbe!!habana me ni kama wewe, tuna kibri.
Ndiyo Ni Mimi ,kila mwenye chura Ni wako?tutafutane basi . hiyo avata ni ww ?