Hongera sana kwa Dar nenda Mindu street ni barabara ya pili ukitoka ya kuingia Muhimbili ukitoka Fire hesabu nyumba ya tano hivi mkono wa kulia utakuwa umefika!Mkuu nataka kuanza Rasmi somo la Meditation kwa hapa Bongo sijui
ni wapi, halafu nina safari ya India ambayop itanichukua miezi miwili
vipi inatosha huko kujifunza kwa hiyo miezi 2, na wapi nitapata mafunzo hayo.
Pole kwa kutoka nje ya Mada lakini nyumba iliyopo karibu na Mkutano
ndiyo ambayo watu huomba maji.
Tatizo nyuki wa Dizaini hiyo ambao wanatengenezwa na kina mkuu MshanaDawa yake kuwakaanga tu mkuu na kuwala kama kumbikumbi.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144]Tatizo nyuki wa Dizaini hiyo ambao wanatengenezwa na kina mkuu Mshana
na Likudi wanaweza kufufukia tumboni, wakaligeuza tumbo kuwa Mzinga ingawa
unaweza kupata faida ya kutoa haja kubwa ya masega na kukojoa asali
Sawa na Ahsante Mkuu, kumbe ni hapo kuna ukuta una maandishiHongera sana kwa Dar nenda Mindu street ni barabara ya pili ukitoka ya kuingia Muhimbili ukitoka Fire hesabu nyumba ya tano hivi mkono wa kulia utakuwa umefika!
Kwa huko India utafaidi japo sijui unaenda mji gani anza kabisa ku Google meditation centers za huko
Tuelewane.... Ninaozungumzia mimi sio hao wa kufugwa..... Wanatoka kusikojulikanaLakini yule waziri mkubwa kabisa wa awamu ya kilimo kwanza alituhimiza sana tuwafuge, sasa mbona kututisha,,? Maana yawezekana wakaja kutoka kusikojulikana wakamshambulia jirani na familia yake ikasemwa ni nyuki wa jirani nanii wale...
Usiwafukuze waache... Wanga hawawezi kamwe kusogea hapoNgoja niangalie hawa ninaowafuga ni aina ipi(maana wamehamia muda kweli kweli hapa kwangu)
Wananyan'ganyana chakula na kuku wangu... uzuri hawana uhasama na watu wa nyumba hii. Nikiwafukuza wanarudi