Nyota zao zishang'aa Mtoto6 with Ch....

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Awali ya yote kimaono yangu nathubutu kusema hapa jamvini pangekua na selection ya kuwapa members u'Superstar wa kila mwezi ningewapendekeza hawa vijana, Mtoto6 & Charminglady!
Because Superstar is a term used to a CELEBRITY who has great popular appeal and is widely known, prominent or successfuly in some field.
Celebrities referred to as Superstars, also may include individuals who work as actor or actress, musiacians, athletes , and other media based. Ofcoz (hawa wanaingia hapo kwenye "media bases") kutajwatajwa na kuandikwaandikwa sana kuna create u'celebrity eventhough it takes shot period. Nachukua fursa hii kuwarai wale wenzangu wanaotaka kuviza nyota ya hawa vijana waachane nao!
Star yao ilipofika uwako wake si wa kuuzima as a comedian ! Nyota yao inakimbiza! Leo tu moja thrade kuwahusu hazipungui 5 ! Bado za jana juzi, hongereni wapendwa.
Kimbizeni , nyota yenu inauza!
Mahasidi wenu nyimbo zishawaishia! Watabaki mijicho koddo! Kama sio tumbu !
Kama ni wanaume watakua wameingia toilet ya ma'manzi ! Na kama wanawake kinyume chake!
 
at last umeonesha appreciation maana baada tu ya kutangaza liwalo na liwe mi namchukua charminglady jumla jumla imeibuka mijadala mingi kupinga uhalali wa couple hii, tunamshukuru mwanasheria wetu ruttashobolwa kwa kuwakabili wote waliota mashauri yasiyokuwa na vidhibiti....

kweli wakati ndio sasa.........oooops i mean wakati wetu ndio sasa

thanks Judgement
 
Last edited by a moderator:
thanx for ur appreciation, me nashangaa ni kwanini inakuwa hivyo, hata kabla ya MtotoSix nimekuwa nikitajwatajwa kuanzia kwa platozoom akafatia wakati ndio sasa then MtotoSix, unaweza ukanambia hii inatokana na nini Judgement?

Sorry Mrs M6 to be!
Nime'delay kurudi online coz today rite now their's a big match Barcelona Vs Real madrid , na ndy kwanza ngoma iko halftym!
Back to the point, umeuliza about that kadhia you just faced ! My opinions this issue are not bad as well !
The reason which i mentioned above on my thrade , absolutely is a really results of your quiz !
 
Last edited by a moderator:
Nawaangalieni tu,mkimaliza kuongea niamsheni nimwage razi hapa.

Mkubwa! Handass yote imeniruka! Barcelona huku wananivua viwalo! Hali ni mbaya! game haijaisha washatupia ma3 kwa 2 ! Afu wanateleza tu kuja langoni mwa madrid utafikiri wamepakwa samli!
 
Back
Top Bottom